12/19/07

EID MUBARAK


SALAAM ALAIKUM NDUGU WAISLAMU WOTE NA POPOTE PALE DUNIANI NAPENDA KUWAPA MKONO WA EID KUPITIA BLOG HII NDOGO NA MPYA, NAWATAKIA KILA LA KHERI NA MAISHA MEMA HUSUSAN WAISLAMAU WA BONGO KATIKA EID AL HAJJ NA MWAKA MPYA.

1 comment:

Anonymous said...

Asanate sana ndugu tunakushukuru na kukutakia kila la kheri, Blog yako ni nzuri keep it up.