12/14/08

Taifa Stars you done us proud men!

Vijana wa JK.




Umatistars

Wabongo na washabiki wakifurahia kuwasili Taifa Stars kutoka Sudan.

Homgera Taifa Stars na kwa wantanzania wote jana ilikua ni siku nzuri sana na ya furaha baada ya ushindi wa bao 2-1 kwa Sudan, Tunamaliza mwaka kwa furaha ya kuingia fainali ya kombe la Africa.


Stars Oyeeeeee..!!

TAIFA STARS 2 SUDAN 1
Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania imefanya kweli huko Sudan baada ya kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini na hivyo kuitoa Sudan kwa jumla ya 5-2.

Mabao yaliyofungwa na Henry Joseph na Nurdin Bakari yatakumbukwa sana katika historia ya kandanda nchini kwani mabao yao ndiyo yanayoipeleka Taifa Stars katika fainali za michuano ya kwanza ya timu za Taifa zinazoundwa na wachezaji wa ligi za ndani zitakazofnyika huko Ivory Coast mwezi February mwakani.



No comments: