3/6/09

Picha bora Duniani-Best Picture in the World


Hii picha ni katika picha bora duniani mpaka sasa, Itazame vizuri na kwa makini aliochora picha hii ni kutoka Italy, Imeshinda katika mashindano ya Fan Kokh ya uchoraji au u-design imeshinda Dollar millioni moja, Kwa kweli ina maana nzuri sana naomba wavutaji wataifahamu vizuri.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Labda inawaeleza wavutaji kuvuta kunaua. Sijua labda kuna anayeona tofauti

Simon Kitururu said...

Picha kali hii!Lakini kuna jamaa mpaka leo ananibishia kuwa haoni mtu kwenye ash-trei!

Anonymous said...

Inatakiwa atazame kwa makini ndio atajua ina maana gani kama ni mvutaji basi ataacha kuvuta, sigara ni kjiua taratibu haina faida hata moja

Christian Bwaya said...

Ama kweli hii ni picha bora zaidi! Ukiangalia kijuu juu unaona sigara. Ukiwa makini zaidi kuiangalia huku ukitafakari athari za sigara unamwona marehemu! Sigara ni umauti.

Nimeipenda picha hii.