5/29/09

Barca Mabingwa wa Spain na Ulaya

Wababe wa Spain na Ulaya.

Barca wameweza kuchukua ligi na kombe la Spain kuunganisha na kombe la Ulaya, Wamekusanya vitu vitatu kwa mara moja.

Messi na Iniesta wanafurahia Kombe mbele ya waandishi wa habari.
Wamerudisha ushindi baada ya miaka 18 walipofungwa na Man U 2-1 mwaka 1991.

Makocha wanasalimiana baada ya kushindana

Goli la kwanza la Etoo katika dakika ya 10'

Etoo anafurahia kufunga goli.

Goli la Messi la pili katika dakika ya 70'.

Messi na Henry wanafurahia goli la pili na la ushindi.

MECHI KAMILI HAPA - FULL MATCH HERE.

No comments: