5/7/09

MECHI KUBWA - THE BIG MATCH

Manchester United v Barcelona huko Rome Mei 27!!!!
Iniesta Strike Sinks Chelsea


Barcelona wameponea chupu chupu jana kutolewa nje na Chelsea.

Iniesta kaiokoa Barcelona na kaizamisha Chelsea

Furaha ya kocha wa Barca na wachezaji wa benchi baada ya goli la Iniesta

Katika dakika ya 90 za kwisha mechi wakati Chelsea walitangulia 1-0, Iniesta kaweza kuleta goli la droo 1-1 na kuwafikisha Barcelona katika mechi ya fainali itakayo chezwa mwezi huu tarehe 27 huko Italy.

FC Barcelona snatched a remarkable UEFA Champions League semi-final win through Andrés Iniesta's goal three minutes into added time to earn a showdown with Manchester United FC in Rome on 27 May.

3 comments:

Simon Kitururu said...

Sasa tusubirie tu Barca vs Manu tuone!

Born 2 Suffer said...

Kwa mtazamo wangu mimi hili kombe ni la Man Utd wanacheza mpira mzuri sana ingawa ni mpenzi wa Barca lakini nawasifia Man utd.

Simon Kitururu said...

Hongera naona Barca wameshinda!