Michael Jackson in Oman
MJ akiwa Oman na Mfadhili wake
2006 MJ aliishi na watu wa Oman muda wa mwezi na nusu mbali na zogo za waandishi wa habari na kazi zake, Ziara yake ya Oman ilikua ya siku 3 lakini akaamua kuongeza siku 45 alipendezewa na nchi pia wananchi wa Oman alivyoishi nao vizuri, kawasifia sana wa Oman kwa ukarimu wao na ilikiua arudi tena kutembea na kukaa zaidi nchini Oman.
Bado watu wa kila aina duniani wampendao Michael Jackson wanasikitika na kuhuzunika kwa kifo, Binti mmoja kutoka Tunisia baada ya siku nzima kukaa kusikiliza nyimbo za MJ binti huyo amejiua kwa kumeza madawa zaidi ya kipimo kwa huzuni ya kufa MJ, Katika mwaka 2007 MJ alitembelea Bahrain ambapo anaishi ndugu yake mkubwa Jeremen ambae kaingia katika dini ya kiislamu, vijana wa kiarabu kutoka Saudi Arabia walitoa katika Youtube video clip ya mchezo mzuri kwa kutumia nyimbo ya MJ.
kipande hiki cha vijana wa Saudi Arabia wakicheza kutumia nyimbo ya MJ.
6 comments:
Kwa kweli kifo cha MJ kimemsitua kila mtu hata wasiopenda mziki. Lakini jambo la kujiuliza to die at 50 in the US is unthinkable. Only for gun shots and accidents, otherwise there is a foul caused by himself (chemicals)or by others.
Sikuwa najua kama MJ aliwahi kukaa huko Oman.
Ahsante Mzee wa Taratibu kwa taarifa hii
Thank you for visiting, I am pleased that you made you a tribute to Michael.
Very interesting your space
Hello, Marlow
Huyu jamaa nadhani tutamuongelea mpaka mwaka unaisha!
kamanda asante sana kwa kunitembelea na kuacha ujumbe katika kibaraza changu. tuko pamoja
Mwaipopo:kifo hakichagui tajiri wala masikini isitoshe madawa ya kubadili rangi na anayotumia na masindano ndio yamemdhuru.
Chib:Aliwahi kuja kutembea Oman ilikua ziara ya siku 3 akini kapendezewa na nchi ikabidi akae siku 45.
Ivo:Ur welcome bro keep intouch.
Simon:Imeshakwisha khabari yake yupo chini tene anahesabiwa.
Rama:No problem bro lazima tutembeleane na kujuana sisi wote ni wa Bongo keep intouch.
Post a Comment