6/28/09

Kifo cha MJ - MJ Death.

Michael Jackson was injected in the heart to try to revive him Michael Jackson was injected in the heart with a shot of adrenaline as his doctor desperately tried to bring him back to life. Dr Conrad Murray is believed to have plunged the syringe into Jacko’s chest in a scene reminiscent of Hollywood movie Pulp Fiction. The medic hoped the jab would kickstart his heart but the star was beyond saving after a suspected overdose of painkiller Demerol. Familia na wapendwa wa huyu mwanamuziki wamepata shock kwa kifo chake cha ghafla, Magazeti na TV zote yanazungumzia kufa kwa MJ waswahili wanasema kufa kufaana, uwezo wake mola hata mtu uwe vipi unamiliki dunia nzima lakini kila kitu kina mwisho wake, binadamu wengine wanamkosoa mola wao alivyowaumba mwisho wake wanarudi kwake, nazungumzia hivi kwa ajili kilichoniuma kwa nini kajichubua rangi kwa ajili ya pesa kaona rangi njeusi si nzuri ridhika na kile ulichonacho pesa si kila kitu.

Filam Inaelezea Sababu za Kufa MJ - Short Film About MJ Death.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kweli dunia nzima imetikisika kwa kifo cha mwimbaji huyo. Apumzike kwa amani peponi. Amen

Mzee wa Changamoto said...

Duh!! Haya ma-info mengine umeyanyaka wapi? Sikuwa nimeyaona Man. Kweli una-dig deep.
Thanx Bro.
By the way, hiyo profile picture ni mwanana saaana.

Simon Kitururu said...

R.I.P MJ!

chib said...

Bado machungu hayajapoa hata...

Born 2 Suffer said...

Yasinta:Keshapumzika na kapumzisha watu na masikitiko.

Mzee wa Changamoto:Internet ni bahari ya kila maalumati hamna kinachokosekana humu.

Chib:Yatapoa tu bro usikonde watu wanafiwa na wazee wao na ndugu siku mbili tatu wameshasahau.

Anonymous said...

aisee naomba link ya hiyo video