Sometime unahisi raha sana kuona clips kama hizi za wanyama waliopo Tanzania na Kenya, Hapa inaonyesha vipi wadhungu wanavyo invest na kuendeleza sehemu kama hizi sehemu yeyote africa kaishi mdhungu haswa kutoka Brishit atapatengeneza vizuri sana, Lakini akishaondoka tu akamwachia mwafrika basi sehemu inakufa kabisaaaa kwa nini sijui..!!??
No comments:
Post a Comment