Nachukua fursa hii ya mwezi mtukufu kuwaomba msamaha wapenzi wangu wa blog hii, Tusameheyane na tuikaribishe Ramadhani kwa nyoyo safi nawatakia Ramadhan Njema.
Ramadhani ikiwa njema kwa wale waitimizao (sote waIslamu, waKristo, waHindu, waYahudi na wengine) ina maana ULIMWENGU MZIMA UTAKUWA MWEMA. Tukizingatia yafundishwayo katika mwezi huu mtukufu (ambayo hayana mipaka ya kidini) tutatambua kuwa ndivyo tunavyotakiwa kuishi miaka yote na nyakati zote. Kama ulimwengu ungeamua kuufanya mwezi huu uanzao sasa kuwa wa mabadiliko, ama kuamua kufanya haya mema yafundishwayo katika miezi mitukufu kama hii kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku, TUSINGELIA TULIAVYO KWA MATUSI, KEJELI, WIZI, UBAKAJI, UFISADI, MAUAJI, VITA, MATABAKA, MAKABILA, RUSHWA nk. RAMADHANI NJEMA KWA ULIMWENGU MZIMA
4 comments:
Ramadhani ikiwa njema kwa wale waitimizao (sote waIslamu, waKristo, waHindu, waYahudi na wengine) ina maana ULIMWENGU MZIMA UTAKUWA MWEMA. Tukizingatia yafundishwayo katika mwezi huu mtukufu (ambayo hayana mipaka ya kidini) tutatambua kuwa ndivyo tunavyotakiwa kuishi miaka yote na nyakati zote.
Kama ulimwengu ungeamua kuufanya mwezi huu uanzao sasa kuwa wa mabadiliko, ama kuamua kufanya haya mema yafundishwayo katika miezi mitukufu kama hii kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku, TUSINGELIA TULIAVYO KWA MATUSI, KEJELI, WIZI, UBAKAJI, UFISADI, MAUAJI, VITA, MATABAKA, MAKABILA, RUSHWA nk.
RAMADHANI NJEMA KWA ULIMWENGU MZIMA
salaam!
Mfungo mwema Mzee wa Taratibu
Mfungo mwema Mkuu!
Post a Comment