9/23/09

SINGIDA BUS AIRLINES LIMEWAKA MOTO NJIANI


Hapa basi likionekana kwa mbele na moshi unatoka.


Moto unaonekana katika tairi la basi.


Polisi wa SGD wakifanya uchunguzi na basi linaendelea kuwaka moto.

Basi hili likitoka SGD kwenda DAR Ajali kama hizi ni mbaya bahati haikua usiku na kiza ingekua hatari zaidi kwa abiria, Poleni sana abiria waliopanda ndani ya basi sasa matajiri wa mabasi wapate somo kuweka kizima moto kidogo ndani ya mabasi yao cha kusaidia hata kiasi, Picha hizi kwa hisani ya blog ya jamii www.issamichuzi.blogspot.com

No comments: