12/31/09

Happy New Year 2010




Mwaka mpya umefika sisi sote tuwe
salama na wewe uliomzima shukuru
mungu kumaliza mwaka siku hizi ni
jasho vifo vya sasa kama maji yatokapo
yaendapo hayajulikani tuombe mungu daima,
Kuna waliokuwepo hospitali kuna wengine
tena wameshakufa na sisi wazima tuombe
mungu tufike salama salimini, Nawatakieni
mwaka mpya 2010 uwe mwaka wa kheri na baraka
duniani.

No comments: