5/31/10

SINGIDA (SGD) - BINGWA WA KOMBE LA KILI TAIFA CUP






Singida (SGD) Mabingwa wa Kili Taifa Cup 2010 Timu ya Mkoa wa Singida baada kuchukua Ubingwa kwa kuwachapa timu ya Lindi mabao 3-0 katika Mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana jioni, Nawapongeza vijana wa timu hii pamoja na Mr.MO mbunge wa Singida kwa kusapoti timu ya jimbo lake.

No comments: