10/19/10

Vituko vya Ghadafi


Jamaa mawazo yake anapiga picha na timu ya mpira.

Katika ma-Raisi wenye vituko duniani hamna kama Ghadafi, Ana vituko vya peke yake hajali huyu wala yule na ni msema kweli anatoa ukweli wake popote pale.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni furaha kuwa upo nasi kwani ni muda sijakuona au kukusoma. aAfadhali mungu alituumba tofauti fikiria kama wote tungekuwa kama Ghadafi...

Born 2 Suffer said...

Asante Dadi witu nilikua busy na shughuli muda hivi.

Simon Kitururu said...

Jamaa mtundu!