Huu ndio mji wa Muscat picha hizi zinaelezea vipi mji ulivyokua miaka ya nyuma na sasa hivi, Picha nyeusi na nyeupe ni miaka kuanzia 70 aliposhika Sultan Qaboos Hukumu ya Oman, Na picha za rangi ni katika miaka kuanzia 80 hadi leo lakini kuna mabadiliko makubwa sana si kama unavyoona hivyo.
1 comment:
Pamebadikika kweli Sultan Qaboos anaweza kupotea mjini!
Post a Comment