2/12/09

Twanga Pepeta (Mugongo Mugongo) ndani ya Muscat FestivalTwanga Pepeta ndani ya nyumba na Nyoka wa kijani walipofika Seeb Airport.

Hapa wapo tayari kwa kufanya show yao.

Nyoka wa kijani na group la Twanga.
Leo ndio mwisho wa Muscat Festival wana wa Kutwanga na kupepeta (Mugongo mugongo) wanapiga kwa mara ya mwisho usiku huu katika Muscat Festival ambayo kila mwaka wanaalikwa na kuja kutumbuiza wadau wa Muscat, Kesho wanatarajiwa kuondoka na kurudi Bongo, (Na ukitwanga ni lazima kupepeta ni mpunga kutoka Muscat nyumbani kwake fadhili, Baba zeituni, Baba sharifa baba mwanahamisi mzee wa tanki mbovu, Abu semhando).

No comments: