12/2/09

World AIDS Day is 1st December 2009

Support World AIDS Day
Over a million Americans are estimated to be living with HIV. Worldwide an estimated 33 million people are living with HIV.
Jaribu kujiepusha na AIDS (UKIMWI) kwa vyovyote vile unavyoweza ugonjwa hauna tiba mpaka hivi sasa.

Aids Ribbon


Jiepushe na AIDS

Ndugu wasomaji jana tarehe 1 Desemba ilikua ni siku ya AIDS (UKIMWI) Duniani ugonjwa huu ni mbaya na unateketeza watu kama maji yatokapo yaendapo hayajulikani, Nimeona katika habari za TV vipi watu wanapata tabu kwa ugonjwa huu usiokuwa na tiba mpaka sasa na hatujui labda milele mungu ndio katuwekea sisi binadamu mtihani mkubwa, Nimependa kuweka LINK au MTANDAO huu ili kila mtu anufaike na asome vipi jinsi ya kujikinga na ugonjwa huu, Bofya hapa upate habari zaidi worldaidsday

Millions of people across the world are vulnerable to HIV infection through lack of effective prevention and millions of people living with HIV do not have access to treatment and care.


No comments: