1/14/10

Omani Comedy 100%

Cheka Unenepe


Huyu ni Masanja wa hapa Oman ni muigizaji mzuri sana wa vitendo vya watu na lugha zao vipi wakizungumza, Aanaigiza kila vipi wadosi wanavyozungumza hata waarabu pia tazama ufurahi.