3/24/10

Binadamu Zamani - Old Human


Ukubwa wa mwili.

Ukubwa wa binadamu katika kipindi cha zamani baada ya uvumbuzi.
Inasemekana wa firauni wa misri walikuwa Wakubwa au zaidi ya hivi.

Katika shughuli za mwisho za kutafuta gas au gesi katika kusini-mashariki mwa jangwa la nchi ya Saudi Arabia kwa uwepo wa mfupa vipande vya Binadamu wenye mili mikubwa.
binadamu hawa walioishi miaka ya nyuma ya zamani sana, tazama vipi zamani mili ya binadamu na sasa tulivyo sisi..!!??

No comments: