6/23/10

Genge la wizi wa Pakistan kuanguka katika mikono ya Polisi ya Oman

Police Oman wamekamata genge la wa Pakistani wameiba pesa maeneo mbali mbali ya mji wa Muscat, genge hili limeshikwa na hatia ya wizi wa kiasi ya Rial 488,000 elfu na wizi wao ulikua wa kutoka (hapa) na (hapo) si sehemu moja tu.


Huyu ni mmoja kati ya watuhumiwa, na (mbele yake) ni sehemu ya pesa kiasi walizoiba.

Na hizi ni pesa walizoiba katika maeneo mbali mbali.

No comments: