11/22/10

Kitabu Kipya Kuhusu Zanzibar

KWAHERI UKOLONI, KWAHERI UHURU!
Goodbye Colonialism, Goodbye Freedom!



Cover ya Kitabu

Kuhusu Kitabu
Kitabu hichi ni kidoto kisichokuwa na mrengo na ni mlango wa herufi ya nuni wenye kuufunua upotoshaji wa Mapinduzi ya Zanzibar na kuukaribisha mustakbal mzuri wa Zanzibar, Tanzania, na Afrabia Mpya kwa wakati mmoja.

Through its contents and symbolism, this book simultaneously opens the door which sets free the understanding of the Zanzibar Revolution and welcomes a new dispensation for a New Zanzibar, Tanzania, and Afrabia.

Kuhusu Mwandishi.

Harith Ghassany amezaliwa Zanzibar na amepata shahada ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Harvard, Massachusetts, kilichoko Marekani. Kabla ya kuchukuwa likizo la muda mrefu alikuwa Profesa Msaidizi katika Chuo cha Udaktari na Sayansi za Afya, Chuo Kikuu cha Sultan Qaboos, kilichoko Muscat, Oman, na hivi sasa anaishi Washington DC.

Harith Ghassany was born in Zanzibar and holds a PhD from Harvard University. Before taking a long leave of absence, he was an Assistant Professor at the College of Medicine and Health Sciences at Sultan Qaboos University in Muscat, Oman, and currently resides in Washington DC.

Kinapatikana hapa http://www.kwaherikwaheri.com Unaweza kudownload.