2/7/11

MISRI - MIDANI TAHRIRI

Misri mapambano bado yanaendelea katika uwanja wa midan tahriri kuna kilio, huzuni na vichekesho. Jamaa toka ujana wake mpaka kufikia kuzeheka hivi miaka 30 madarakani. Umati wa watu unasalai sala ya Ijumaa katika Midani Tahriri. Millioni ya wamisri. Ondoka Misri. Ondoka mkono wangu umechoka kubeba. Yani wanamshift na kumdelete kabisa asirudi tena. Ben Ali anatakiwa kumpokea Mubarak huko alipo. Mpaka kina mama na mabinti zao wamo. Hii safi sana badala ya helmet bakuli kuzuia asipigwe mawe na wanaomtaka Mubarak.

No comments: