Relaxe Hivi kiswahili ni kigumu kweli au waswahili wenyewe ni wagumu?
Maneno mengine yanatamkwa sawa lakini yana maana vingine kwa watu wengine, ina maana kiarabu ni rahisi zaidi ya kiswahili hata Joti ajua (Sankanani halala lau kaana kambala - Mkataa kwao ni ntumwa). Mwenye ufafanuzi zaidi wa lugha ya kiswahili atufahamishe karibuni.
2 comments:
Habari,
LOL, this is the 1st time i read through a Kiswahili blog launched by an Omani person.
Cool.
However, i must admit that i can read but not understanding everything.
Nice blog though.
Solafa
Nashukuru kukufahamu!
Tutazidi tembeleana.
Big up.
Post a Comment