2/8/09

Tekinolojia/Technology

Mambo mapya ya tekinolojiya yazidi kukua kila siku



Simple mp3 player unaweza kuifungua ukatumia CD.




Simu za Nokia zimetengenezwa kwa mbao.







Company ya Nokia inafikiria kuteremsha aina mpya za simu siku za mbele.



Meza na Computer pamoja very nice






Hizi ni Computer zinakuja na shape ya glass kubwa.








Pikipiki za ajabu yani





Hii ni kati ya Laptop jepesi mpaka wakati huu uzito wake ni 1.5 kilo gram.



Traffic lights mpya.





Viatu vipya pamoja na pochi unaweza kuficha pesa na vitu vyako vya thamani.




Hii Computer ni ndogo kuliko zote duniani size yake sawa na mkono.




Baiskeli ina mashine ya Diesel.

Simu zimechaguliwa ni best katika 2009 design ya Sumsang.







Sony Ericsson




Nokia 3.

No comments: