Ghana leo kufa au kupona mbele ya German. Tumebakiwa na timu chache za africa katika michuano ya kombe la dunia huko South Africa, baada ya Cameron, Nigeria na Bafana bafana kutoka katika round ya kwanza, Ghana, Cotvr na Algeria na hawa wapo katika mtihani mgumu ili waweze kuingia round ya 16.
Algeria ndio tegemeo la waarabu katika kombe la dunia, watawawekea ngumu America leo magoli mawili tu yatawafikisha roundi ya 16.
No comments:
Post a Comment