12/25/08

Wishing you a Merry Christmas and wonderful New Year Wadau wote!!

X-Mas imefika mwaka mpya umefika tufike salama salimini, Na wewe ulie mzima shukuru mungu kumaliza mwaka siku hizi ni jasho vifo vya sasa kama maji yatokapo yaendapo hayajulikani tuombe mungu daima.

1 comment:

SIMON KITURURU said...

Heri ya Krismasi kwako pia Mkuu!