1/6/09

Ali Kiba Live in Muscat


Ali Kiba katumbuiza mwaka 2009 Muscat katika hoteli ya Ramee Dream Resort kusaidiana pamoja na Band ya Campio Sonoria kutoka Bongo na mpigaji solo mkali sana (Bonzo)ambayo ina muda mrefu hapa Muscat wanapiga music ya Bongo, Ulikua usiku wa kujiachia mashabiki kibao walijaa na kufurahia kumuona Ali Kiba alipiga nyimbo zake poa wanazozipenda wadau wa Muscat na walimfurahia sana.