5/31/09

Dynamic leader, dynamic country


For Jakaya Kikwete growing up in Africa was tough, but his humble beginings serve him well as president of Tanzania.

Mtu wa watu au Mzee kijana wanavyomwita wengine, Katika maraisi wa Africa wapo normal na wananchi wake ni huyu pekee yupo sehemu zote kwa wazee na vijana, Sijaona Raisi hachagui rangi wala masikini wala tajiri kama JK nampa hongera kubwa sana, Alikua wapi zamani baada ya Mwinyi au angekua yeye na Mwinyi pamoja wananchi wangeneemeka sana, Mungu amzidishie maisha marefu Amin.

No comments: