6/3/09

Magari ya Harusi / Wedding Cars

Haya wenye kutaka kuoa wajirushe hawahitaji 5 star hoteli.

7 comments:

ROGERSBIZ said...

LOVE YOUR BLOG. WELL ORGANIZED. HELP ME SPREAD THE MESSAGE THAT GREEN CARD LOTTERY IS FREE OF CHARGE, DOESN'T COST A SINGLE CENT. www.rogersbiz.blogspot.com

Mzee wa Changamoto said...

Duh! I wish haya magari na gharama za harusi za siku hizi zingekuwa zinazifanya harusi hizi zidumu.
Yaani inafurahisha kuona mapokopoko mengi siku ya harusi na kuhuzunisha utakapowaona "maharusi" miezi michache baadae wanapelekana mahakamani kudai talaka.
Ila hizo ndinga Mkuu.
Balaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

chib said...

Kwa kweli binadamu anapenda sana starehe.
Ni kweli pale watu wanapotumia pesa nyingi kwa ajili ya harusi, wakimaliza wanazunguka kuomba mkopo wa kuanzia maisha.

Blog hii hakika ni nzuri, nimeipenda

Born 2 Suffer said...

Kweli kabisa chib furaha ya siku mbili unapoteza pesa za kuishi maisha mazuri mpaka mwisho wa life yenu.

Born 2 Suffer said...

Maneno yako sawa mzee wa changamoto gharama zote za harusi kisha siku mbili tatu kila na mtu na njia yake.

Born 2 Suffer said...

Thnx rogers for ur comment love your blog too keep intouch pls.

SIMON KITURURU said...

Duh haya Magari halafu utakuta safari yenyewe ni ya kwenda mtaa wapili tu!

Mkuu uko kimya siku mbili tatu, Salama lakini?