12/21/09

Merry Christmas


Christmas imefika mwaka mpya umefika tufike salama salimini.
"Wishing you a blessed and peaceful Christmas!"

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante, nami nakutakia krsimasi njema nawe pia na heri kwa mwaka mpya.

SIMON KITURURU said...

Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya Mkuu!

chib said...

Thank you. Same to you Bwana!

mumyhery said...

shukran na wewe pia twakutakia heri ya mwaka mpya

Born 2 Suffer said...

Asanteni sana wanawani mwaka mpya ufike kwa salama wote uwe mwaka wa kheri.