12/30/09

Mvua Oman - Rain in Oman

Imekumbusha Upepo na mvua kali ya "Gonu" Kabla ya Miaka Miwili hapa Muscat.

Gari imebebwa na maji.
Watu wengi wamekufa na familia kamili ndani ya gari zimepelekwa na maji ya nguvu ya mvua yaliyovuruga barabara kama mnavyoona katika picha hizi, Lakini serekali inaendelea na ujenzi wa barabara mpya kuitoa katika sehemu yanapopita maji ya mvua na kuipandisha juu mbali na maji hayo kuepusha watu kufa wakati wa mvua.


New Amrat Road

No comments: