4/17/10

Utibabu wa Maradhi ya Kansa"Daktari ambaye anatibu kansa"
Nimependa kuweka makala hii ili watu wapate manufaa haya. Maradhi haya ya Cancer yamezidi na kuna watu ambao hawana uwezo na njia za kutibiwa na wanahangaika na maumivu makubwa.

Njia ni rahisi sana kwa kila mtu alio mgonjwa kuweza kuijaribu.

Utibabu wa maradhi ya Cancer kwa kutumia Pili (kali sana) pamoja na kitunguu Thom
Piliipili 2 kali sana – zipo Africa itakuwa ni pilipili mbuzi, za Uganda.
Chembe 2 za kitunguu Thom

Njia ya utumiaji:
Saga hizo pilipili 2 na chembe 2 za thom sawasawa.
Chukuwa mkate wa ngano nzima (Whole meal brown bread), utie katika toaster uwe mkavu, upake siagi (siyo margarine ya aina yoyote bali siagi ya maziwa ya ng’ombe). Paka mchanganyiko wa pilipili na thom juu ya mkate uliopakwa siagi.

Kila usiku ule mkate mmoja huo, watu wengi hupata matokeo katika muda wa wiki mbili. Ikiwa hujapata na unaona iko faida, endelea kutumia mpaka ufanikiwe.
Watoto wadogo na watu waliokuwa hawaiwezi pilipili hiyo wanaweza kujaribu kutumia kipande kikubwa cha tangawizi mbichi, wakakisaga na kufanya hivyo hivyo.
Hii njia imetokana na daktari maarufu aliokuweko amerika na aliwatibu watu wengi katika miaka 60 aliokuwa akifanya kazi. Kuna mtu alioandika kitabu kuhusu haya maelezo na maisha ya huyo daktari, alipatwa na cancer stage 4 (ya mwisho, kubwa) na akajitibu kwa muda wa wiki mbili. Kitabu chake kinaitwa “ the doctor who cures cancer”

Mgonjwa mwenye haya maradhi ya Cancer:

Mgonjwa wa Cancer aache au atumie kwa uchache vitu vifuatavyo:
1. Sukari
2. Unga mweupe
3. Mafuta yeyote isipokuwa ya zaitun, mafuta safi ya nazi au mawese.
4. Margarine
5. Chumvi iliosafishwa kiwandani, atumie chumvi ya mawe (aisage nyumbani).
6. Vyakula viliokuwa processed and refined (Vilivyosindikwa na kusafishwa.

Vitu muhimu kufanya daima:
1. Kunywa maji ya kutosha (japo lita 3 kwa siku)
2. Usifikiri maradhi fikiri Shifaa, inshaallah Mola atakupa hiyo shifaa.
3. Kula salad kwa wingi, baadhi ya matunda kama papai, nanasi, avocado.
4. Kuroweka Lozi, Brazil nuts katika kikombe cha maji usiku, kuyamwaga hayo maji asubuhi na kula hizo brazil nuts na lozi.
Muhimu kuwa ni mbichi siyo ziliokuwa zimepikwa kabla.
Mungu waondoshee maradhi yote kila waliokuwa wagonjwa, amin.

Zaidi yanapitakana hapa : http://www.thedoctorwhocurescancer.com/

No comments: