4/19/10

Kwa urefu wa cm si zaidi ya 45

Mu-Iraq yupo katika maandalizi ya kuingia kitabu cha "Guinness" World Records kama mtu mfupi duniani, baada ya mchina aliofariki hivi karibuni.

Abuji ana miaka 15 anatarajia kuandikwa jina lake katika kitabu cha "Guinness World Records" kama vile ni mtu mfupi kuliko wote duniani, Urefu wake si zaidi ya cm 45 umepungua cm 27 na mfupi wa china aliefariki hivi karibuni ambae alikua ni mtu mfupi kuliko wote duniani.


Abboji mtoto kutoka Iraq ana urefu wa 45 cm anaweza kuwa mtu mfupi duniani kwa sasa.

3 comments:

chib said...

Lakini huyu si bado anakua, anaweza kuwa mrefu kuliko yule mchina ati

John Mwaipopo said...

hivi kuna mshiko wowote kwa mtu kuingia ktk Guiness book of Records.

@ chib mtu kurefuka mwisho miaka mingapi?

Born 2 Suffer said...

Chib:huyu kweli ni mdogo kwa umri bado lakini umbile lake linaonyesha ni mwisho hapo hapo hatazidi zaidi ya hivyo,na pia watu warefu na wafupi duniani hawaishi sana yote hayo ni siri na uwezowake mola.

John:hii waulize wadosi au wazungu maana kuna mambo mengine wanafanya si ya sifa hizoza kuingia ktk Guiness book ni kitabu cha sifa mtu ukitaka au ukiwa unapenda sifa utajulikana duniani milele na milele hata ukishakufa jina lako linabaki.

Asanteni kunitembelea na comments zenu huu ndio uungwana safi karibuni sana.