5/29/10

BRAZIL vs TZ
Mchezo wa kirafiki kati ya Brazil na Taifa Stars sijui niwape pole kwanza au baada ya mechi, Maana mbele ya misri walichapwa 5-1 na ukitazama wenzetu hapo chini wa UAE walichapwa 8-0 na Brazil, kidogo wa Omani walijitahidi 2-0 na Brazil, Sasa Taifa Stars na Zimbabwe mbele ya Brazil itakuaje? Tutajua matokeo tarehe 7 June.

Brazil vs Oman (2-0)
Brazil vs UAE (8-0)
Brazil vs Tanzania (?-?)

No comments: