12/18/10

Wananchi MaBillionea Lakini Masikini


Huu ni utajiri au umasikini? Zimbabwe watu wananunua mayai matatu kwa Billion mia moja dollars hata mamillionea wa duniani pote hawawezi kufanya hivyo, Wananchi mabillionea lakini masikini wahenga walisema Masikini hafilisiki, Hii ni ya kuwekwa katika kitabu cha Guiness World Records.

1 comment:

SIMON KITURURU said...

DUH! Hii nayo imepitiliza hii!Sasa hapo kila mtu teknikali ni Bilionea!:-)